Log inLog Out
For YouNewsEntertainmentRelationshipLifestyleSportTechnology
YANGA YAWEKA WAZI ISHU YA MKATABA WAO NA MORRISON.

Khadija Mussa

Jun. 24, 2020

Klabu ya Yanga imetoa ufafanuzi juu ya mchezaji wake Bernad Morrison Yanga imesema kuwa klabu iliingia mkataba na mchezaji huyo Tarehe 15/01/2020 kwaajili ya kutumikia klabu hadi tarehe 14/7/2020 kwa kuwa na makubaliano na mchezaji kwamba endapo klabu itaridhishwa na kiwango chake mkataba utaongezwa.
Yanga imendelea kutoa ufafanuzi huo kwa kusema baada ya kuridhishwa na na kiwango chake , tarehe 20/3/2020 klabu kwa maslahi binafsi ya mchezaji huyo waliingia makubaliano na kuongeza mkatabampaka tarehe 14/7/2022.
0
Comments
Sign in to post a message
You're the first to comment.
Say something
Recommend
Log in