Log inLog Out
For YouNewsEntertainmentRelationshipLifestyleSportTechnology
Mwanahabri Ken Mijungu agura runinga ya NTV

Adams Evergreen

July. 03, 2020

Mwanahabari wa runinga ya NTV Ken Mijungu ni miongoni mwa wafanyakazi waliofutwa kazi na kampuni ya nation media group wiki hii.
Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya twitter Mijungu alithibitisha habari hizo huku akiendika ujumbe wake na kusema kuwa imekuwa takribani miaka saba akifanya kazi katika runinga hiyo.
Pia alimshukuru Mungu kwa fursa yake ya kufanya kazi na runinga ya NTV, na pia kuwashukuru mashabiki wake.
Huu hapa ujumbe wake;
The axe fell @NTVnewsroom and I was on its way. 7 years in those corridors summed up in a two page letter of termination. We live to fight another day. Thanks to God, He remains the greatest, thank you @ntvkenya for the opportunity and thank you for always staying tuned.” Aliandika Mijungu.
0
Comments
Sign in to post a message
You're the first to comment.
Say something
Recommend
Log in