Back
Klabu ya Simba imemtambulisha mshambuliaji raia wa Uganda, Steven Mukwala kutoka Asante Kotoko ya nchini Ghana kwa mkataba wa miaka mitatu.Simba imemtambulisha Mukwala (24) leo Julai 2, 2024 baada ya jana kumtambulisha Joshua Mutale akitokea Power Dynamo ya Zambia.Timu hiyo inaendelea kusuka upya kikosi chake ikijiandaa na michuano Ngao ya Jamii mwezi ujao, Ligi Kuu Bara, FA pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika.#mwananachiupdates #tunaliwezeshataifa
Jul 2, 2024
7Shares
0Comments
9Favorites
19Likes
No content at this moment.