Back
cloudstv
Clouds TV
Appreciation Certificate Kamati ya #MalkiaWaNguvu2024 ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Malkia wa nguvu @lilianemasuka inatoa shukrani zao kwa Malkia wa Kanda za Nyanda za Juu Kusini kwa mchango wao mkubwa katika maandalizi ya kilele cha Malkia wa nguvu Mbeya kwa Janeth Y Mgeni, Debora Kallomo, Macrine Justine, Mc Luvanda na Pendo Newton Kyando kwa mchango wao na kufanikisha hili. #WekaTuweke
Sep 29, 2024
7Shares
0Comments
2Favorites
11Likes
Say something to impress...
Loading...
Comments
Hot

No content at this moment.

Relevant people
cloudstv
958 Followers
others
Clouds TV
Related