Back
Paula amtaja Marioo kama baba bora!
Dec 31, 2024
Ikiwa leo ni birthday ya Staa wa Bongofleva kutoka Bad Nation, Marioo, mpenzi wake na mzazi mwenziye Paula ametoa neno katika siku hii muhimu.
Kupitia Instagram, Paula amemtaja Marioo kama baba bora na kumtakia mafanikio katika shughuli zake. Chini ni kile alichoandika.
Happy birthday my love, my best friend, my partner na baba watoto wangu. Unapoanza huu mwaka mpya, nataka ujue kwamba wewe ni baba bora sana kwa mtoto wetu.
I’m so grateful to be sharing this beautiful journey of parenthood with you. Umekuwa mtu bora sana katika maisha yetu, and I can confidently say I’ve truly won in life because of you. May the favor of the Lord be upon you always.
Mungu akubariki kila unachoshika kikafanikiwa na uendelee kuwa bora zaidi kila siku. You are my everything, and I LOVE YOU SO MUCH Marioo.
8Shares
1Comments
12Favorites
16Likes
No content at this moment.