Back
BET Bulder Ndio Habari Ya Mjini Inatoa Mkwanja
Feb 12, 2025
Najua linaweza kua neno geni kwako lakini hii ndio habari ya mjini kwasasa Bet Builder ni rasmi ndani ya Meridianbet, Ambapo kupitia chaguo hili wapenzi wa michezo ya kubashiri wanaweza kujinyakulia maokoto kirahisi kabisa.
Na hii ndio maana ya BET BUILDER
BET BUILDER ni huduma inayotolewa na Meridianbet kwenye kubashiri ambayo hii inakupa nafasi ya kuunda dau maalum kwa kuchanganya machaguo mbalimbali kwenye mechi moja.
Mfano leo hii Jumatano kuna mechi ya Everton vs Liverpool hivyo kwenye mechi hii unaweza ukaweka machaguo hata 5 kwenye mechi. Kwenye hii mechi unaweza ukampa Inter ashinde. Inter aongoze kipindi cha kwanza, Inter apate magoli mawili, Inter afunge vipindi vyote na kadhalika.
Jinsi BET BUILDER inavyofanya kazi
Chagua Mchezo na Machaguo: Wateja wanatakiwa kuingia Meridianbet halafu wataona chaguo la BET BUILDER, na watapata orodha ya michezo inayopatikana. Kisha, wanachagua mchezo wa aina yoyote (mfano mpira wa miguu, soka, mpira wa kikapu) na kuangalia matukio mbalimbali yanayoweza kubashiriwa.
Kuchagua Matukio: Baada ya kuchagua mchezo, wateja wanaweza kuchagua matukio maalum, kama vile idadi ya mabao, idadi ya kadi, au hata nani atakayefunga bao la kwanza. Hii inawapa wachezaji fursa ya kuchanganya matukio tofauti na kuunda dau lao mwenyewe.
5Shares
0Comments
10Favorites
6Likes
No content at this moment.