Back
Taharuki Yaibuka Nywele za Binadamu Zikipatikana Kwenye Chakula
May 17, 2025
Taharuki yaibuka nywele za binadamu zikipatikana kwenye chakula
Katikati ya mji wa Sia kulikumbwa na kisa cha kushangaza siku ya Jumamosi wakati mteja fulani katika hoteli moja ya eneo hilo kupata nywele za binadamu kwenye sahani yake ya pilau.
7Shares
0Comments
8Favorites
10Likes
No content at this moment.