Back
BONGO FLEVA MPYA!
@Bongo Fleva Mpya!
Maisha ni matamu, lakini yanakuwa matamu zaidi ukiwa na Bagamoyo Sugar – sukari safi, tamu na yenye viwango vya juu vya ubora. Bagamoyo Sugar ni zao la kampuni ya Bakhresa Group, likiwa limetengenezwa kwa uangalifu mkubwa ili kuhakikisha kila tone linaongeza ladha halisi kwenye vinywaji na mapishi yako ya kila siku.Karibu kwenye banda la Bakhresa Group katika maonesho ya 49 ya biashara ya Sabasaba, ujinunulie Bagamoyo Sugar kwa bei nafuu. Mbali na punguzo, utapata nafasi ya kujifunza zaidi kuhusu mnyororo wa uzalishaji wake, kuonja bidhaa, na kuungana na Watanzania wengine wanaopenda maisha matamu yanayoendana na ubora wa kweli.#AzamTVupdatesMhariri | John Mbalamwezi
Jul 6, 2025
9Shares
0Comments
9Favorites
6Likes
Say something to impress...
Loading...
Comments
Hot

No content at this moment.

Relevant people
BONGO FLEVA MPYA!
4668 Followers
celebrity
@Bongo Fleva Mpya!
Related