Log inLog Out
For YouNewsEntertainmentRelationshipLifestyleBusiness
Ndio hawa:Orodha ya wafuasi wa DP Ruto ambao wametia saini ya kutimuliwa kwa Kindiki

Bessie

May. 20, 2020

Viongozi waliokuwa wanashabikia upande wa naibu rais William Ruto sasa wamaeamua kutia saini ya kumtimua naibu spika wa bunge la Seneti Kithure Kindiki kutoka kwa wadhifa huo .Orodho hiyo imeongozwa na seneta mteule Millicent Omanga ambaye ananukia tanuri la kuondolewa katika wadhifa huo baada ya kukosa kuhudhuria mkutano uliokuwa umeitishwa na rais Kenyatta.
Miaka miwili iliopita Omanga amekuwa akiwaongoza wafuasi wa Ruto wa kufa ni pone katika mikutano yao ya Tanga tanga.
Hivi sasa! Mchakato wa Kumuondoa Kindiki waanza. Irungu Kang’ata awasilisha mswada kwenye seneti
Seneta Margaret Kamar alitia sahini kutolewa kwa Kindiki ilhali alikuwa miongoni mwa maseneta ambao walikuwa wametia sahini ili kiongozi wa wengi Kipchumba Murkomen na Susan Kihiki wasitimuliwe bungeni.
Pia Seneta wa Trans Nzoia Michael Mbito, ambaye amekuwa mfuasi wa Ruto wa karibu amebadili nia yake na kusahini Kindiki kutoka bungeni.
Maseneta,48, wanataka Kindiki kutoka bungeni na kisha tayari wametia sahini zao ili atimuliwe,orodha ya wabunge hao ni kama bile ifuatayo;
Yusuf Haji Garissa, Hargura Godana Marsabit ,Fatuma Dulo Isiolo, Ali Abdulahi Wajir, Peter Ndwiga Embu, Githiomi Mwangi Nyandarua, Ephraim Maina Nyeri, Charles Kibiru Kirinyaga, Irungu Kang’ata Muranga, Kimani Wamatangi Kiambu, Samuel Poghisio Pokot mashariki, Michael Mbito Trans Nzoia, Jepkoech Kamar Uasin Gishu.
Kimenuka! Kindiki kutimuliwa kama naibu spika wa seneti na chama cha Jubilee
Gideon Moi, Baringo Johnson Sakaja, Nairobi Beth Mugo, Nairobi (nominated) Alice Chepkorir, Bomet Milicent Omanga, Nairobi (nominated) Christine Zawadi Gona, Kilifi Mary Seneta, Kajiado Falhada Dekow Iman, Garissa Naomi Jilo Wago, Marsabit Abshiro Soka Halake, Isiolo Victor Prengei, Nakuru Isaack Mwaura, Kiambu.
James Orengo, Siaya Rose Nyamunga, Kisumu (nominated) Beatrice Kwamboka, Nairobi (nominated) Naomi Shiyonga, Kajiado (nominated) Judith Pareno, Kajiado (nominated) Boy Issa Juma, Kwale Mohamed Faki Mwinyihaji, Mombasa Ochillo Ayacko, Migori Getrude Musuruve Kakamega (nominated) Sylvia Kasanga, Nairobi (nominated) Johnes Mwaruma, Taita Taveta Chebeni Mercy, Uasin Gishu
Mutula Kilonzo Jnr, Makueni Agnes Zani, Kwale Moses Kajwang, Homa Bay Ali Haji Fahhiya, Nairobi Fred Outa, Kisumu Boniface Kabaka, Machakos, Okong’o Mogeni, Nyamira Petronilla Were, Nairobi (nominated) Enock Wambua, Kitui George Khaniri, Vihiga Samuel Ongeri, Kisii.
0
Comments
Sign in to post a message
You're the first to comment.
Say something
Recommend
Log in