Log inLog Out
For YouNewsEntertainmentRelationshipLifestyleBusiness
Ogopa Wakenya! Betty Kyallo afanyiwa haya baada ya kuposti picha akiwa amevalia Bikini

Kapsikorya bismark

Aug. 08, 2020

Wanamitandao wengi katika mitandao ya kijamii wakati mwingine wanaweza kuwapa ukosoaji watu mashuhuri ambao hawana heshima wala ambapo wameona kuna kosa la kukosolewa.
Betty Kyallo kwenye mitandao ya kijamii aliposti picha akiwa amevalia mavazi ya kuogelea huku akiwa kando ya bwawa la kuogelea au ukipenda ‘swimming pool’.
What a dad! Baba yake Betty Kyallo atembelea biashara yake
Baada ya picha hiyo walichukua fursa hiyo na kuanza kumkosoa huku wengi wakimkejeli, alitengeneza rinda ndefu ya rangi ambayo Betty alikuwa amevalia mavazi yake ya kuogelea au ukipenda ‘Bikini’.
Swali ni je mtu anaweza aje kuogelea na rinda ndefu?Huku akitoa hisia zake kuhusu nguo hiyo aliandika haya,
“I’M ON THE FLOOR AKI THIS IS MY FAVOURITE ONE YET! HADI NIMEPEWA KIBETTY YA BETTY I LOOOOVE KENYAN NETIZENS KESHO I GIVE YOU ANOTHER ONE (DJ KHALED).”
Tulikuwa pamoja?’ Betty Kyallo ampa bonge la jibu mdaku aliyesema ‘utachomwa na bibi ya Joho’
Hizi hapa hisia za wanamitandao;
phelister04 Aaah…Kenyans..aty wakitembea uchi wanavalishwa… we’re fixing this country
mitchy_mich 😂😂😂wacha avalishwe nguo 🤣
Icon Farhan Adam Bille Agents of Sir Goddy dismantling evil spirits ruthlessly!!!
Johnie Ni Johnie serikali imeshindwa but we must put things in order
Julius Amba Muthama She fits number 3….getting old now
Julius Prosperity Very beautiful# “mama kanisa” sa nitakuletea kitambaa
Betty Kyallo: Sijaenda Dubai !
Delta Sanakiss congratulations umevaa sasa Rinda…ile time ulikuwa umevaa panty pekee yake
Sammy Holt Wakivua tunavalishatunasodeka Kenya
James Maina That’s it! We are fixing the nation
Vero Vee Mpaka top Ina match na skirt
Vincent Mutinda Ukifunua tunafunika!
Gacheba Florence Wamuyu We are fixing Kenya
0
Comments
Sign in to post a message
You're the first to comment.
Say something
Recommend
Log in