Back
Muigizaji @idrissultan amepata fursa ya kipekee ya kukutana na muigizaji mkubwa kutoka Korea Kusini, Son Ye-jin, maarufu kwa jina la @yejinhand, ikiwa ni moja ya matunda ya ziara yao huko Korea. Akiwa na furaha isiyokifani, Idris ameandika:"It’s a crazy feeling meeting your favorite Korean Actress, Crash landing on @yejinhand, weeee mama Samia wewee hapa umenikamataa."Kwa hiki tunachokiona, tutegemee makubwa kutoka kwa wasanii wetu kupitia ziara hii.
Jul 6, 2024
11Shares
0Comments
12Favorites
8Likes
No content at this moment.