Back
Kutoka #Sentro ya Clouds TV , @jr_farhanjr amemuuliza Mstahiki Meya wa Kinondoni, Mnyonge Songoro kuhusu timu ambazo zimeonesha nia ya kutaka kuutumia uwanja wa Manispaa ya kinondoni KMC Complex kueleka msimu ujao 2024/25Kwenye majibu yake Mstahiki Meya anasema Simba SC tayari imetuma maombi ya kutumia uwanja huo kama uwanja wao wa nyumbani msimu wa 2024/25
Jul 10, 2024
12Shares
0Comments
12Favorites
22Likes
No content at this moment.