Back
"Fedha zitakazopatikana Congo zitasaidia Congo wao wanataka kwenda kwenye kituo cha mama na mtoto. Fedha zitakazopatikana Burundi kule walipata changamoto ya mafuriko zitaenda kuwasaidia kwenye eneo la mafuriko lakini hapa nyumbani sasa ambapo Marathon itafanyika tarehe 18 na tutakuwa na Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Dotto Biteko atakuwa mgeni wetu." - Mkurugenzi wa CRDB Foundation na Luteni Jenerali wa Jeshi La Kusambaza Tabasamu TullyEsther Mwambapa #LiveOnClouds360#CloudsTvNiMkataba
Jul 10, 2024
9Shares
0Comments
2Favorites
10Likes
No content at this moment.