Back
Mdau wa JamiiForums.com ameshauri kuwe na Ukaguzi wa mara kwa mara wa Mabasi ya Kubeba Wanafunzi ili kuhakikisha Usalama wa Wanafunzi na kuokoa Maisha yao-Pia, ametoa wito kwa Watu kutoa taarifa kwa Mamlaka husika endapo watakutana na ‘School Bus’ bovu, lenye Mwendokasi pamoja na kuwaripoti Madereva ambao hawafuati Sheria za Barabarani -#JamiiForums #ServiceDelivery #JFhuduma #Accountability #Uwajibikaji
Jul 11, 2024
12Shares
0Comments
12Favorites
17Likes
No content at this moment.