Back
BONGO FLEVA MPYA!
@Bongo Fleva Mpya!
Tatizo Mlio Oa Hamtufanyi Mabachela Tushawishike Kuoa😂 Hatuna Mpango Wa Kuoa Banah Sisi Ni Mabachela For Life😂💯✅. Kama Wewe Ni #Bachela Mwambie @roma_zimbabwe Kwamba Hatuna Mpango Wa Kuoa Tunakula Ujana Mabachela. Tukipata Hela Tunaangali Nyash😂 Akikosa Nyash Basi Sura Ni Kigezo Pia😂 Tunapendana Ukizingua Tuna Achana Ndo Life Yetu Mabachela😂🏃🏻
Jul 13, 2024
11Shares
0Comments
6Favorites
22Likes
Say something to impress...
Loading...
Comments
Hot

No content at this moment.

Relevant people
BONGO FLEVA MPYA!
4666 Followers
celebrity
@Bongo Fleva Mpya!
Related