Back
hajismanara
Haji Sunday Manara
Tunayo familia kubwa na Watoto watano si haba MaashaAllah.Watoto wangu ni watoto pia wa mke wangu na mwanae ni mwanangu,,hivi ndivyo tunavyoishi.Na kwa sasa tumeamua kuwekeza kwao ili wapate elimu na malezi bora,,tutakapohitaji mtoto mwingine tutapanga na kumuomba Mungu,,lakini kwa sasa focus yetu ni kulea waliopo.Nb: kabla hujaangalia maisha yetu na kutuchagulia jinsi ya kuishi,,,Look your family first na mwambie Mamiyo akuongezee mdogo wako🤪Maisha ya watu wasiokuhusu yatakuingiza uchawini bila sababu😝@zaiylissa ❤️@__.__iamprince @_._nuuh @_._hameeda📸 @ssb_graphics
Jul 16, 2024
3Shares
0Comments
2Favorites
15Likes
Say something to impress...
Loading...
Comments
Hot

No content at this moment.

Relevant people
hajismanara
934 Followers
football
Haji Sunday Manara
Related