Back
JamiiForums
where we dare to talk openly.
Wadau wa JamiiCheck.com wameshiriki katika Kuhakiki video #Roboti anayeonekana analima shamba. -Uchambuzi wao umetoa majibu kuwa video hii sio halisi, ni ya kutengeza kwa Akili Mnemba (#AI). Baadhi yao wametoa majibu hayo wakieleza kuwa Roboti anayeonekana hapo hagusi ardhini na pia vitendea kazi haviguswi. -Pangusa kushoto kuona baadhi ya majibu-#JamiiCheck #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Jul 23, 2024
11Shares
0Comments
4Favorites
9Likes
Say something to impress...
Loading...
Comments
Hot

No content at this moment.

Relevant people
JamiiForums
1663 Followers
local_politics
where we dare to talk openly.
Related